kaluumayste
Take the Poo to the loo
Welcome, mswahili. Ni kuzuri kujua lugha kadhaa.
Wa ambiye hawa wafala kujua luga ni mzuri.
Welcome, mswahili. Ni kuzuri kujua lugha kadhaa.
Hivi karibuni nitasema swahili bora kuliko weweWas that Swahili? Damn, you improved sxb
loool, niko poa rafikiye.
Ukweli wallahi. :siilaanyolaugh:Wa ambiye hawa wafala kujua luga ni mzuri.
Jaribu nioneHivi karibuni nitasema swahili bora kuliko wewe
Jaribu nione
Nakuchezea, waweza jua kuliko mimi ukifanya mazoezi mengi
Jaribu nione
Nakuchezea, waweza jua kuliko mimi ukifanya mazoezi mengi
Naacala...@Kudhufo Kadhaqaq ulikuwa wapi mze ?
@kaluumayste ulijifunza au umesoma wapi na ukajua hii lugha?
Tanzania au Kenya?
Yaa tanzania ni sanifu sana mpaka wakiongea wanakaa wapole.... hhh
Damn, miaka mitano.Mimi nime ka TZ muwaka tano.
Naacala...
Damn, miaka mitano.
Nadhani wee ni mpole. Ukweli au uongo? Kkk
Loool, siko wote wawili. Just a somali blessed with languages@Dalmoor na ongea swahili ya asli, wewe ni sijui waa kenya or TZ ?
Mimi naapa sielewi kile ambacho watu wanasema. Labda google translator ni fucking na mimi.sxb ume poteya ow vipi :siilaanyolaugh:
Wapotea wapi?. Nadhani uko mbali sasa hivi ama google haijafanya kazi yake kuzuri?Naacala...
Loool, siko wote wawili. Just a somali blessed with languages
Nilikupa/nilikuambia uongo, nami nilisomea hio lugha katika kenya.... lakini mimi si msijui.
Najua lugha yangu/somali vizuri na sikuzaliwa kule kenya
Na hizo lugha, wawezanipa/nipea majina yao?I used to speak 5 languages, i forgot 2. now i only speak Somali, Swahili and English. Damn i'm getting old bro.